Monday, September 10, 2012

BREAKING NEWS :WAANDISHI WAPIGWA STOP KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA

Breaking News: Waandishi wapigwa stop kufanya maandamano nchini nzima kulaani kuuawa kwa mwandishi mwenzao, Daud Mwangosi aliyeuawa Septemba 2, mwaka huu.Polisi wadai hawakufuta utaratibu wa kuomba kibali cha kufanya maandamano.Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake