Salma Jarufu akiwa na ndugu yake baada ya chakula cha familia pale City Garden,Salma makazi yake yapo London kwa sasa.
Wakati wa kujipendelea maakuli wadada hawakuwa nyuma kujipakulia.
Yahya, Hussein na Dr.Ismail Jarufu wakiwa wametupia suti kali kwenye hafla hiyo ya kifamilia.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake