Hii ilikua ni kwenye show ya Philiph Treacy hivi karibuni ambapo Mwanamitindo mtanzania Flaviana Matata na wenzake walivaa nguo halisi zilizokua zikivaliwa na marehemu Michael Jackson
kwa ufupi ni kwamba hizi nguo zimetoka kabatini mwa MJ.
Kwenye hii show mwimbaji staa Lady Gaga alikuepo pia.


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake