
Hapa ilikuwa ni full mafoleni yani hakuna magari kusogea mbele
Hebu cheki haya magari yameacha foleni yameamua kukatiza mitaani tuu bila hata kujua kama kuna hatari za wapita njia.
Hapa pia ni kona zengine pande za Dar wadau wapo tayari kupita maporini lakini wafike wanapo elekea.
Picha zote na www.blogszamikoa.blogspot.com





No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake