Monday, September 10, 2012

KILONGA LONGA CHASABABISHA MAMA KUJISAHAU KAMA YUPO NA MTOTO








Mama story moto moto akasahau kuona mbele yake kuna nini mala kigari cha mtoto biduuuuu nasimu yake mkono

Mtoto huyooo chini bado mama na simu yake mkononi, simu sikiona mtoto sakafuni

Simu ilikuwa muhimu zaidi ya mtoto kweli kazi hipo hapa...


Simu sikioni mtoto chini jiulize huyu dada kulikoni??????ni mahongezi gani hayo ambayo yalikuwa muhimu zaidi ya malaika mwenye umri wa miezi 4 anaieitwa Astala mtoto wa Peaches Geldof mke wa Tom Cohen, nani wakulaumiwa hapa barabara au huyu dada?. Mambo haya yalitokea mitaa ya East London uko kwa wakoloni.

3 comments:

  1. anafaa kunyanganywa mtoto huyu manake hata mtoto alivyoanguka bado aliendelea kuongea na simu watu wengine ni wanazaa tu lakini kuwa wazazi haswa hawafai.

    lakini angekuwa mweusi huyu ingekuwa kasheshe nyingine.

    RIP kanumba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo ni mtoto au toy? Mbona sura haijulikani au kuonekana vizuri?

      Delete
  2. Haha huyu dada anawazimu? Ingekua mie ningetupa simu huko

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake