MANZESE HAPO KATIKA MPANGO WA MABASI YAENDAYO KAZI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA FOLENI BONGO MJINI DAR-ES-SALAAM
Swali ni je mazingira haya yataendelea kutunzwa na kuendelea kuonakana safi kama hivi?. Yetu macho na mabasi haya yateendeshwa na wazawa waliosomea VETA au wachina???
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake