Friday, September 14, 2012

MHESHIMIWA NDesamburo kuhutubia MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES

Mheshimiwa NDesamburo amewasili kuja kuhutubia mkutano Wetu Milton Keynes jumamosi 15/09/2015
NETHERFIELD  MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD
MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku

Asanteni sana
 
Chris  LUkosi

Mwenyekiti UK


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake