MJENGO ambao wataishi washiriki wa Epiq Bongo Star Search 2012, umeleta mzuka kwa baadhi ya washiriki ambao wameazimia kujifua kuhakikisha wanatimba kula bata, anaandika Hamida Hassan.
Wakipiga stori na Showbiz kwa nyakati tofauti, baadhi ya washiriki hao kutoka mikoa mbalimbali walisema jumba hilo limewapa ari na nguvu mpya kufanya mazoezi ya kutosha kuhahakisha wanaingia na kudumu ndani ya mjengo huo kabla ya kung’ara kitaani.
Jengo hilo lilianikwa hivi karibuni licha ya kwamba haikufahamika liko maeneo gani na kwa nje linaonekana ni la kifahari kiasi cha baadhi ya watu kudai kuwa, mandhari ya ndani yanaweza kuwa kama ya lile la Big Brother. Picha na GPL

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake