Wednesday, September 19, 2012

MJINI MCHAKA MCHAKA

Unakamata kiazi cha kuchoma kwa 500( Jero) na maji kisha siku imeisha.....pichani kijana akiwa na mkokoteni jiko akipitisha kwa wateja, Mihogo na Viazi vya kuchoma miaka ya hivi karibuni imekuwa maarufu sana mjini.

1 comment:

  1. mkuu umenikumbusha mbali sana natamani vyakula hivi yani acha tuu

    NY,NIMERUDI

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake