RAPA WIZ KHALIFA NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE MAMA KITUMBO NDIIII NDANI YA MTV AWARD
Rapa
Wiz Khalifa (kushoto) akishika tumbo la mchumba wake mwanamitindo Amber
Rose wakati wakiwasili kwa ajili ya tamasha la tuzo za video bora za
muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
Rapa Wiz Khalifa (kushoto) akiwasili na
mchumba wake mwanamitindo Amber Rose kwa ajili ya
tamasha la tuzo za video bora za muziki
la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los
Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
Amber
Rose akionyesha tumbo la ujauzito wa mchumba wake rapa Wiz Khalifa na
kuthibitisha uvumi uliozaga kwamba mwanamitindo huyo anatarajia mtoto
wake wa kwanza
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake