Saturday, September 1, 2012

TUZO MAALUM ZA DICOTA 2012


Mhe. Aman Karume akitoza tuzo kwa mfanyabiashara Bora Emmanuel Msengi wa Umoja Phone kwa mafanikio ya biashara yaliyotambuliwa na DICOTA.
Mhe. Aman Karume akitoza tuzo la Jamii kwa Dr. Eustance Kaijage kwa kujitolea kwake kwa Jamii

Mhe. Aman Karume akitoza tuzo la Kijana Mwanaujuzi kwa Nissa Kibona (kushoto) na Kutina Ruhumbika kwa ajili ya kuwa vijana bora katika fani zao kulikotambuliwa na DICOTA

1 comment:

  1. hi i am amani msengi Emma's son and your awesome:).

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake