Friday, September 14, 2012

UHOLANZI YATOA BILIONI 33 KWA AJILI YA USAMBAZAJI WA UMEME WILAYA YA MPANDA, BIHARAMULO NA NGARA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) jijini Dar es salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza  umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake