Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Pereira Silima (kulia) akipokea msaada
wa kijamii kutoka kwa Mwakilishi Msaidizi wa kitengo cha kuunganisha
watoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF)
nchini Paul Edwards (kushoto) leo jijini Dare es Salaam. Msaada huo
una vitu mbalimbali kama vyandarua, magodoro, mito, taulo na vifaa vya
michezo.venye thamani ya dola za kimarekani 8,972. Kulia ni Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Fidelis Mboya, Picha na
Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Pereira Silima, akizungumza machache baada ya kukabidhiwa msaada huo.
Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria Hafla ya makabidhiano ya msaada wa kijamii wa Vifaa mbalimbali kutoka UNICEF
kwa watoto waliopo Magereza mawili ya watoto nchini Segerea na Ruanda
(Mbeya), Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Slaam.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake