Tuesday, September 11, 2012

WAJUMBE WA WAPC WALIPOTEMBELEA TANZANIA

Chriss Conybeare kutoka World Association of Press Councils (WAPC )akizungumza na wadau mbali mbali wa habari walipokutana kwa chakula cha jioni kilichoandaliwa na baraza la habari Tanzania ( MCT) katika hotel ya Dar es salaam Serena Hotel.

1 comment:

  1. Pongezi kwa Baraza la Habari Tanzania kwa kufanikisha mkutano huo kufanyika Tanzania, ni heshima kwa nchi yetu. Pia nampongeza Bwana Kajubi Mukajanga kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa WAPC.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake