UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , mapema leo wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kugandiana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Police walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Temeke kushudia tukio hilo
Baadhi ya watu wakiwa hapo kushudia watu hao walio gandiana
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao
Sikiliza
Part 1
Part 2
Source: Free Bongo
1 comment:
safi sana na shukran luke kutuweka hii clip kusikiliza na jambo hili ni la kweli kabisa japo kuwa hospitali ya temeke inakanusha na kwa nini polisi watumiye sheria mikononi mwao?kuwatawanya watu kwa mabomu si unaoni jinsi sheria za usalama wa uraia hakuna tanzania/
nimependa sana hii kitu na naona nidawa kubwa kwa wazinzi wote wafanyiwe hivi ingekuwa tunamjua mnganga anayefanya haya tungemuajiri ajira kubwa sana because watu tumezidi kuchukua mali za wenzetu si mwanamke wala mwanamme walio wazinzi wote dawa yao ndo hii either wazidi au waacha kabisa tendo la kuwachukulia mali za watu mwenyewe unangaramia halafu mtu anakula bure bure je hii ni haki?
nimependa sana hii kitu ningemjua mgaga huyu na mimi ningemuweka mke wangu ulinzi because namuona majoo juu siku hizi japo kuwa sijamfuma bado
Post a Comment