ebwana wee luke wewe ndo mwenyewe ebwana eeh siku zote nafukuzia jamaa huyu kujua anademu wa aina gani na leo umeweka picha yake hapa duu poa ile mbaya
dickson kila lakheri na mama mwenye nyumba wako fanya fanya basi uowe sawa
we Mpwa mbona unapotosha maana ya mama mwenye nyumba hivi kwani mzee dick keshamuoa?ingetosha kuweka mchumba wake au demu wake.ni maoni yangu.Pili je wewe Mpwa lini UTASHIKWA NA KUSHIKAMANA??
7 comments:
seriously!

makubwa kumbe mlikuwa mna promote na kupromotiana! dmk ushahamisha majeshi yako brooklyn?
we Mpwa mbona unapotosha maana ya mama mwenye nyumba hivi kwani mzee dick keshamuoa?ingetosha kuweka mchumba wake au demu wake.ni maoni yangu.Pili je wewe Mpwa lini UTASHIKWA NA KUSHIKAMANA??
kaka nani ndo nani mbona hatuelewi
my sister wala hasikudanganye wala haujashikwa utabwagwa kama wengine. nakuonea huruma we
kweli wasanii wasikuhizi hamna maana wewe lina si unawajua mademu zake
Post a Comment