
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkaribisha Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan, mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais jana.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake