Advertisements

Tuesday, December 25, 2012

CHRISTMAS PARTY EVE NEW YORK FUNIKA BOVU

Palikuwa hapatoshi Christmas Eve Party New York ilikuwa full kujiachia Dj Luke Kutoka kapital alikuwa akiwarusha wana New York na vitongoji vyake hakufanya makosa kujiita Lukemusicfactory kwani aliwaburudisha kwa kila aina ya music ili kukonga nyoyo za kila mmoja aliyefika kwenye house party hiyo. Shukrani siwafikie (Vijimambo team Dj Luke na Ny) , Sister Adela, Sister Mary Ngora, Aguy na bila kuwasahau (NYTC) kwa kusupport na kufanikisha mpango mzima wa party hiyo. Big Up kwa wote waliojitokeza, ,huu ni mwanzo tu na tuendeleane kushirikiana.
 Vinywaji na nyama vilikuwa nya kutosha na chakula kilipatika watu walipata hadi soup uku wakiwa busy kwenye floor.
 Kila mmoja busy kwenye Floor Dj Luke alifanya kazi yake kam vilivyo kama kawaida yake akiwa katika nyumba ya machine.
 Ommy kulia akipata ukodak na mdogo wake
 Wazee wa new York wakipata picha ya pamoja baada ya kukutana mjengoni
 Ommy kutoka Brooklyn akiongea na sister wake na ukodaki ukawapitia
 Masuperstar wa New York wakipata ukodak Simba kushoto katikati Sadik na Ommy kulia.
 Warembo wakijiachia kwa smile juu ya midundo ya music kutoka kwa DJ Luke....kutoka Capital
 Masuperstar wa Grown Up Africa Jonson katikati alishuka usiku huo huo kutoka Tanzania na pembeni yake ni sister yake Jessica wakipata ukodak
 Simba akipata ukodak na cousin wake Jancinta kutoka New Jersey 

 Bartender wa party hiyo akishaanga pambeni yake ni sister Adella 
 Warembo wakipata ukodak wa vijimambo ndani ya christmas  eve party NYC....kwa picha zaidi bofya read more

No comments: