Advertisements

Wednesday, December 12, 2012

LADY MADONNA ACHUKUA SERENGETI BOY, MADONNA UKIPITA KWENYE ANGA ZAKE AKIKUPENDA NDIO IMETOKA HIYO

Lady Madonna akiwa na serengeti boy wake wakila bata nene uko Rio de Janeiro, Brazil, madonna ana Miaka 54 na Boy friend wake ana miaka 24. Hapa wakikata mitaa ya mji wenye maraha Rio de Janeiro.
Madonna alitembelea mji Vegario Gelad, Brazil mji ambao wakazi wake ni masikini.
Madonna dons a fedora while visiting a poor neighborhood called Vigario Geral on Friday (December 7) in Rio de Janeiro, Brazil.
The 54-year-old entertainer wanted to see how social programs were affecting the lives of local children in the country.

No comments: