WASHINGTON DC
Chama Cha Mapinduzi Tawi la DMV tunawatakia
watanzania wote duniani Christmas njema
na heri ya Mwaka mpya.
Tunaomba mwenyezi mungu atujalia
amani, upendo na mshikamano popote tulipo duniani .
Tukiwa tunaelekea mwaka mpya Mwenyezi
mungu atuwezeshe kudumisha uzalendo na utaifa wetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR
Imetolewa na katibu wa tawi
CCM DMV
YACOB KINYEMI
No comments:
Post a Comment