Thursday, December 20, 2012

MSANII WA FILAMU, SAJUKI AKIMBIZWA HOSPITALI

Msanii wa Filamu Sajuki hoi tena,akimbizwa hospitali ya Amana,Mil 28 zahitajika kuokoa maisha yake,yaelezwa baada ya uchunguzi hospitali ya Amana,amekutwa na tatizo la kufeli kwa figo yake ,hivyo fedha hizo zinahitajika kuokoa maisha yake (Majira la leo.)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake