Saturday, December 15, 2012

Maendeleo ya msiba ya Mzee Edson Mwandemani (72)

Maendeleo ya taarifa za msiba wa mzee wetu,
 baba yetu Edson Mwandemani (72)alifariki jana Ijumaa 

akiwa amelazwa katika hospitali ya Bay State Medical Center.
Juhudi kubwa zinaendelea kukusanya michango kwa ajili ya kuurejesha mwili wa mareh
emu nyumbani Tanzania. Tafadhali tunaomba michango itumwe kwa kupitia Richard Mwandemani Bank Of America Routing number 011000138 Account #004643403251 

Msiba uko nyumbani kwa Richard  address:
113 Enfield Street, Indian Orchard, Mass 01151

Kwa taarifa zaidi za msiba unaweza kuwasiliana na:

Richard Mwandemani (413) 262-0400
Isaac Kibodya (413) 219-1153
Kawala Mgawe (413) 330-1609

Tutaendelea kuwaletea taarifa kadri tutakavyozipata.

Shukran!

2 comments:

  1. Poleni sana, apumzike kwa amani !!

    ReplyDelete
  2. May God bless the family and friends during this time. May the peace that surpasses all understanding guard your hearts and minds through Christ Jesus.
    Mr.& Mrs. Kasilo

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake