Thursday, December 20, 2012

Ukodak moment wa Wazanzibari waishio Denmark.

Baadhi ya Wazanzibar waishio Copenhagen katika ukodak moment baada ya kumaliza kupata dinner ya kusherehekea kumbukumbu ya uhuru wa Zanzibar. Shughuli hiyo ilifanyika katikati ya jiji la watulivu la Copenhagen

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake