
Maharusi wakiwa na wapambe wao kwenye sherehe ya harusi ya Vincent na Angelica katika ukumbi

Vincent na Angelica kwa mara ya kwanza kama mke na mume wakiingia ukumbini.

Angelica akitia wino

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao.

Angelica katika pozi siku ya send off yake.

Vincent na Angelica katika picha ya pamoja na mpambe wao siku ya Send Off

Angelica akimunywesha Vincent Mbege kama ishara ya upendo

Angelica katika picha ya pamoja na mpambe wake

Vincent na Angelica katika picha ya pamoja na wapambe wao

Angelica na mpambe wake wakiingia ukumbini

Angelica akimeremeta siku ya Send Off yake.
No comments:
Post a Comment