ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 3, 2013

MAPINDUZI CUP

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua kikosi cha Simba kilichopambana na timu ya Jamhuri katika ufunguzi wa kombe la Mapinduzi “Mapinduzi Cup 2013” uwanja wa Amaan. Katika pambano hilo Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikagua kikosi cha Jamhuri kilichopambana na timu ya Simba katika ufunguzi wa kombe la Mapinduzi “Mapinduzi Cup 2013” uwanja wa Amaan. Katika pambano hilo Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa pamoja na wadau wa michezo Zanzibar katika ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi ambpo alikuwa mgeni rasmi. Katika pambano hilo lililofanyika uwanja wa Amaan, Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri

Mtanange wa ufunguzi wa “Mapinduzi Cup” baina ya Simba na Jamhuri ukiendelea katika uwanja wa Amaan jana usiku. Katika pambano hilo Simba ilianza vizuri kwa kuifunga Jamhuri

No comments: