ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 29, 2013

UJUMBE ULIO KWENYE USAFIRI HUU UNAWEZA KUWA MAANA NA UKAKUGUSA WEWE AU MIMI.

"Simulia Sana Usiombe yakukute" ndio ujumbe ulioandikwa nyuma ya kibajaji hiki

1 comment:

Anonymous said...

wengi wanapenda kusimulia ya wenzao wao yakiwakuta mdomo wanaweka gundi