Advertisements

Wednesday, January 30, 2013

Wadau Waki-Enjoy Beenie Man Show NC

Juu na chini ni Beenie Man akitwapa wadau burudani alipokua North Carolina mwisho wa wiki hii akipagawisha
Wadau wakila hepi wakati gwiji la miondoko ya rwggae akiendelea kuwapa watu kile kitu roho inapenda
Beenie Man katika picha ya pamoja na Wadau baada ya kukata kiu ya mashabiki

Juu na chini ni Beenie Man katika picha ya pamoja na Mdau 
Simon na Mama mwenye nyumba wake
Wadau wa North Carolina katika picha ya pamoja
Wabongo wa North Carolina walikuwa kwenye show ya Beenie Man wakipata picha ya pamoja na marafiki zao
Ni Ukodak Moment

No comments: