Ally Rehmtullah akiwasili New York City hapa akiwa JFK na mwenyewe wake Professor Magawa aliyeenda kumpokea uwanjani hapo. Rehmtullah amekuja Marekani kuwakilisha East Africa Harvard business school katika Africa business conference. Conference hiyo itafanyika tarehe 16 mwezi huu uko Harvard University Boston.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake