Sunday, February 3, 2013

CHADEMA NA CCM WAZICHAPA KAVU KAVU UKO DODOMA

Mfuasi wa chadena akikimbia kipiga alichoangushiwa na wafuasi wa ccm eneo la uwanja wa wazi karibu na bara ya mwanga mkoani Dodoma sehemu ambayo ccm walikuwa wanaadhimisha miaka 36 ya kazaliwa kwa chama hicho kata ya Uhuru, ambapo chadema walienda kuweka bendera yao sehemu hiyo huku shamrashara za wana ccm hao zikiwa bado zinaendelea
mmoja wa wafuasi wa chadema waliokamtwa katika sekeseke hilo akiwa ndani ya gari la poli
wafuasi wa CCM Wakimnyang'anya bendera ya Chadema mfuasi wa chama hicho aliyetaka kuiweka bendera hiyo sehemu ambayo ilikuwa inafanyikia maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CMM kata ya Uhuru mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake