Monday, February 4, 2013

HALI ILIVYOKUWA BUNGENI LEO


Bunge limelazimika kusitisha shughuli zake hadi kesho kufuatia maamuzi ya bunge kuondoa hoja ya Mh John Mnyika juu ya uboreshaji upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika jiji la Dar es salaam ambapo kufuatia kitendo cha kuondolewa kwa hoja hiyo wabunge wa kambi ya upinzani hawakukubali na kusimama wote kwa pamoja na kuanza kuzomea na kuimba.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake