Saturday, February 2, 2013

HAPA NA PALE WANASEMA MJINI NYONGA NA SURA KIJIJINI TABIA


Hii sasa ndo mpya kutakuwa na amani kweli wachina wana hatari sana. Bajaji toleo jipya hilo 2013 kazi kwetu abiria na matairi matatu haya juu ya gharofa. Hapa na pale labda utaipenda hii na uko tayari kuride kwa bei cheeee kabisa.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake