Raisi, najua ni Watu Wengi sana wamo magerezani wakiwa innocent walibambikizwa makosa, msamehe tu Huyu dogo mi nafsi yangu inanambia Hawa jamaa ni innocent, haiwezekani baba na watoto wake watatu wa kiume wafanye gang rape. They look like they are decent people who would not commit such a crime. Labda walikua wanacheza na wake/mademu za watu, sasa wakakosea step wakimchukua wa mtu mzito... Lakini hiyo kitu ya kubaka was just a fabrication... Kwa hiyo Mr President waachie tu.
3 comments:

Yassin Manyoka naona Benja amekufinika. Jabir ndio umeamua kuwa kama unaendesha kipindi manake huyo Benja kawafunika wote hahahaaaa!

Post a Comment