ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 25, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

5 comments:

A.DOLA said...

duh kwa kweli nimecheka sana isee bro luka.......yani jaama all what they said ni kweli kabisa na hiyo tabia hata hapa seattle wa NDO USISEME but we deal with it....kuna baba mdogo wangu ngd shafi adam shafi(WRITER WA TAABAU KULI) once told me hulka ya mtu/watu kuibadili ni kazi kwelikweli........hongera sana for this attitule tuletee more wth different people too.........hata kina mama pai sawa watafute i guess nao pia wanayo yao eti.........A.Dola(Mayor wa seattle wa).

Anonymous said...

kijiwe kipo powa!!!

Anonymous said...

Keeo it up Dj Luka safi sana.

Anonymous said...

I can see the improvement, best show so far ...
Jabir needs to control the two guys n make sure one person is speaking at a time.
Mdau DC

Anonymous said...

big up guyz nimependa sana maongezi yenu iwish ningekuwepo niwoane sikumoja ntachoma nyama mje kupiga porojo za ukweli

more shows plz ili tubadilishe mawazo na tupanue akili zetu watanzania walio ndani na nchi ya nje

mdau wa vijimaboz