Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake usiku huu. |
Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari. |
Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira. |
Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani Kagera. Blogu hii yawatakia safari njema abiria wote. Picha kwa hisani ya http://gsengo.blogspot.com/ |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake