ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 2, 2013

MAONI YA WATANZANIA WENGI JUU YA NANI ANAEFAA KUIWAKIRISHA TANZANIA BIG BROTHER MWAKA HUU

Tid na Wema Sepetu ndiyo mastaa wa Tanzania wanaopendekezwa zaidi kuiwakirisha Tanzania mwaka huu katika jumba la Big Brother Africa. Inasemekana kuwa Wema Sepetu ambae amesha wahi kuwa miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu ameonekana kinyemela akiwa katika office za DSTV kwenda kuchukua form hizo za ushiriki. Na sasa anaesubiriwa ni Tid kama na yeye pia atajiunga na Wema kuchukua form hizo kama alivyo kuwa amesema baada ya kuulizwa na chombo kimoja cha habari. Form hizo ndizo zinazo kuwezesha upate nafasi ya kushindania mapesa hayo ya BBA. Wengine wanaopendekezwani ni Lisa Jensen na Fezza Kessy.

1 comment:

Anonymous said...

Onashangaza kuwa masupa staa ndio wanaopendekezwa kwenda big brother wakati wenzetu wanaokwenda ni watu wa kawaida ili waweze kuwa mastar, hivi sie wabongo ni ulimbukeni ama hatunazo kikweli, hao tid na sepetu si tayari wanavyo? Jamani weee