Hakuna kitu hapa Dar Brother. Hili pipa la taka ni onyesho tu nenda ubungo terminal( Kituo cha mabasi yaendayo mikoani) unaweza kulia kama umezoea kuona mazingira ya miji ya Marekani. Luke si mchezo. Maeneo 99% machafu. Labda tungojee miji mpya ya Kigamboni na ule utakaojengwa sehemu kati ya Ruvu darajani na Chalinze. Andikeni habari ngumu wenzenu wajifunze. Mwandishi huwa haogopi.

ReplyDelete