Mtoto huyo wa miaka mitatu aitwaye Tmorej Smith ajipiga na pisto ambayo ilikuwa na rangi ya pink alivyokuwa anaichezea akiwa anajua ni toy.Tukio hilo limetokea Greenville, South Carolina walivyokuwa nyumbani kwao wamejifungia chumbani kwao ,akiwa anacheza na dada yake (7-year-old ) na babu yake akiwa sitting room wakati huo wazazi wao walikuwa wametoka.Mtoto huyo alijipiga na pisto kichwani na kufa hapo hapo ,ingawa bado polisi wanaendelea na uchunguzi.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake