HIVI MVUA ILIVYOANZA KUCHUKUA KASI
MZEE MUNGAI AKIONGOZA KUTIMUA MBIO LEO
HAPA WADAU WAKITIMUA MBIO KALI
WAOMBOLEZAJI WALIOKWENDA KUMZIKA ALIYEKUWA DEREVA WA RADIO EBONY FM MAJUTO CHONYA:(MEJA) WAKITIMUA MBIO BAADA YA MVUA KUBWA KUANGUKA KABLA YA KUMALIZA SHUGHULI ZA MAZISHI HAYO LEO KATIKA MAKABURI YA MTWIVILA MJINI IRINGA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake