Monday, February 25, 2013

NGUO NDEVU YAMPELEKA CHINI JENNIFER LAWRENCE

Mwereka pwaa.....!
Ikabidi Bwana Hugh Jackman ampe tafu kuinuka
Ikiifurahiya tunzo yake
Kilio cha furaha
Akaona isiwe tabu, akaenda kubadilisha nguo
Akiwaringishia waandishi wa habari
Huyo polepole akielekea kupata mlo

No comments: