Missy Temeke mkurugenzi wa KWETU Fashion akiongea machache kumkaribisha Mhe. Balozi Maajar na mumewe kwenye chakula cha jioni alichowaandalia kuwaaga, siku ya Ijumaa January 11, 2013 nyumbani kwake Silver Spring, Maryland.
Wageni mbalimbali waliojumuika pamoja na Balozi na mumewe kwenye chakula cha jioni kilichaandaliwa na KWETU Fashion By Missy Temeke kwa ajili ya kumuaga Mhe. Mwanaidi Maajar na Mumewe Bwn Shariff Hassan Maajar siku ya Ijumaa January 11, 2013
Missy Temeke akimtambulisha mumewe Bwn. Mohammed Matope (aliyesimama kulia) kwa wageni wake waliojumuika pamoja na Mhe. Balozi kwenye chakula cha jioni alichomuandalia kwa ajili ya kumuaga rasmi siku ya Ijumaa January 11, 2013 nyumbani kwake Silver Spring, Maryland.
Wageni waalikwa wakipata menyu
DMK katika picha ya pamoja na wageni waalikwa
Wageni waalikwa pamoja na Mhe. Balozi na mumewe wakipata picha za kumbukumbu
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja
KWA UHONDO NA PICHA ZAIDI TAFADHARI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake