Sunday, February 3, 2013

Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Malindi na Bandari kwenye uwanja wa Mao Tse Tung jana

Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) akipambana na Yussuf Saleh wa Malindi.
Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar
kati ya Malindi na Bandari, uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar jana.
Malindi 3 Bandari 1.
Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana.
Mchezaji Haji wa Haji wa Malindi akimiliki mpira.
Mshambuliaji wa Malindi, Masoud Ali Rashid (kushoto) akipambana na Yussuf Saleh wa Bandari,
pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung ambapo Malindi iliichabanga Bandari mabao 3-1.
Said Mohamed Zubeir wa Bandari (kulia) akidhibiti mpira katika pambano la Bandari na Malindi.
Hekaheka kubwa kwenye lango la Bandari kwenye uwanja wa Mao Tse Tung jana.
Malindi 3 Bandari 1.
Rajab Rashid wa Malindi (mbele) akimzidi akili mchezaji mwenzake wa Bandari.
Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake