Msanii mkongwe nchini Abubakar Katwila aka Q-Chief jana Jumapili alifanya show ya kwanza baada ya miaka mitano katika ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam. Katika show hiyo, Q-Chief alisindikizwa na wasanii wenzie ambao ni pamoja na Banana, H-Baba, Beka, Cassim, Barnaba na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
Aliingia ukumbini kwa style hii |
1 comment:
Ovyo,I didnt like it.Stupid show,Hallow wake up kijana this 2013 man haturudi nyuma tunasonga mbele.Dont do a show again if you cant do it.Waachie wenye vipaji vyao
Post a Comment