Sunday, February 3, 2013

SIMBA NA MAAFANDE WA JKT RUVU AKUNA WAKUMTAMBIA MWENZAKE WATOSHANA NGUVU 1-1


Beki wa JKT Ruvu, Kisimba Luambano, akiwa ameruka juu kugombea mpira na kiungo wa Simba, Amri Kiemba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.
Kipa Shaaban Dihile akiwa amedaka penalti ya Shomary Kapombe, ambayo awali aliipangua ikagonga mwamba wa kushoto na kurudi uwanjani, ndipo akaichupia.
Wadau wa Simba wakifuatilia mchezo kwa raha zao
Kikosi cha Simba leo
Kikosi cha JKT Ruvu leo
Kocha Mfaransa wa Simba, Patrick Liewig
Wachezaji wa JKT wakisali baada ya mechi
Dihile amepangua penalti
Kiemba akifunga baada ya kuwachenga Jimmy Shoji na kipa wake Dihile, aliyelala chini
Kiungo wa Simba akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa JKT, Jimmy Shoji na Nashon Naftali
Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa JKT, Damas Makwaya
Abdallah Juma wa Simba akimtoka beki wa JKT, Damas Makwaya
Damas Makwaya kulia na Jimmy Shoji kushoto wakimdhibiti Ngassa
Kiungo Haruna Moshi wa Simba, akimiliki mpira mbele ya beki wa JKT Ruvu, Mussa Holoa
Damas Makwaya akiwa amempitia kiungo wa Simba, Haroun Athumani
Jimmy Shoji akiondosha mpira kwenyhe hatari mbele ya wachezaji wa Simba, Ramadhan Chombo kulia na ABdallah Juma kushoto
Mrisho Ngassa akimtoka Jimmy Shoji
Shomary Kapombe akitoka uwanjani kinyonge baada ya kukosa penalti dakika za lala salama
Mashabiki wa Simba SC
Amri Kiemba akimtoka Jimmy Shoji
Kisimba Luambano akimpunguza kasi kwa kwanja kiungo wa Simba, Amri Kiemba
Damas Makwaya akiondoka na mpira mbele ya kiungo wa Simba, Haroun Athumani, PICHA KWA HISANI YA BIN ZUIBERY.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake