Wednesday, February 6, 2013
STYLE MPYA YA VIATU KAZI KWENU WAREMBO
Ni ubunifu na kwa vile urembo ni ubunifu wa style basi na hii inausika kazi kwako mlimbwende jipende mwenyewe kwa kwenda na wakati. Habari ndiyo hii sijui utaitaje jila la viatu hivi kipago chuchumio au chuchumio manati.
Do u Want Them?
1 comment:
Anonymous
February 6, 2013 at 7:05 PM
Wow kiatu cha kipago cha manati.!
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake
‹
›
Home
View web version
Wow kiatu cha kipago cha manati.!
ReplyDelete