Snow inayomwagika sasa hivi Jijini Toronto, Canada na watabili wa hali ya hewa wamesema huwenda snow ikafikia centimeter.15 mpaka 25 itakapofika siku ya kesho Ijumaa Feb 8, 2013
Mitaa mbalimbali ya Toronto, Canada inavyoonekana kwa sasa
Snow ikiendelea kumwagika jijini Toronto
Jiji la Toronto, Canada linavyoonekana kwa sasa winter storm ikiendelea kupiga jiji hilo
Jiji la Toronto, Canada likiendelea kupata snow. Picha zaidi baadae
Picha na Jamal Jiddawy mwakilishi wa Vijimambo Toronto
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake