Monday, March 11, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE

 Kutoka kushoto Yasin Randi, Mwinyikheri Mkwavi ambae alikua mgeni mualikwa na Benja Mwaipaja wakiwa tayari kukuletea kipindi chako ukipendacho na gumzo la mji KIJIWE CHA UGHAIBUNI hapo kesho Jumanne March 12, 2013
Yasini, Mkwavi, Benja na Jabir Jongo wakiendelea na kipindi cha KIJIWE CHA UGHAIBUNI tayari kabisa kuwarushia kesho Jumanne  USIKOSE

1 comment:

  1. Hawa jamaa kiboko wame nena ukweli mtupu tunaomba mue mna post youtube pls.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake