Lissu: Mwigulu na Ludovick ndio waliotengeneza video ya Lwakatare
Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema video iliyowekwa mitandaoni imetengenezwa na Mwigulu akishirikiana na Joseph Ludovick. Lissu amesema endapo kesi hiyo itafika Mahakamani hawatamaliza hada masaa matatu (3) watakuwa wameshinda
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake