Friday, March 15, 2013

MAZOEZI KUFANYIKA LEO IJUMAA DMV


 Seif Ndossa (mwenye mpira) akiwatoka Seif Ameir (kulia) na Ally Bambino (kushoto)

Utabiri wa hali ya hewa unaonyesha kutakua na mvua Jumampili kwa hiyo Mazoezi kufanyika leo Ijumaa March 15, 2013 Meadowbrook park kuanzaia 10:30 jioni (4:30 pm)

Na Ile mechi iliyokuaifanyike Jumapili kati ya Vijana na Wazee kwa ajili ya kumuaga Brigedia Jenerali Maganga haitakuwepo kutokana na hali ya hewa kuonyesha uwezekanowa mvua kunyesha.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake