Mtoto afariki dunia baada ya kusombwa na maji kufuatia mafuriko Morogoro.
Mtoto mmoja mchanga mwenye umri wa miezi minne mkazi wa eneo la Area six mjini Morogoro amefariki dunia baada ya kusombwa na maji kufuatia mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa ilioambatana na upepo .
No comments:
Post a Comment