Tuesday, March 12, 2013

UK SI SHWARI KIBARIDI CHA NGUVU WAKATI HUU WAKUELEKEA SPRING BREAK

Jumatatu March 11, 2013 ilianguka Snow Uk nzima na kuwaachia wakazi wa UK baridi kali wakati siku si nyingi wataanza kufurahia Spring Break hizi ni Ofisi za Serengeti snowa imezagaa nje.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake